Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nouméa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Noumea (pia:Numea) ni mji mkuu waKaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie -nuvel kaledoni) ambayo nieneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari yaPasifiki.

Mji ulianzishwa mwaka 1854 kwa jina la "Port-de-France" (Bandari ya Ufaransa) kwenye rasi ya kusini ya kisiwa cha Grande Terre. Idadi ya wakazi wake imefikia watu 91.000.

Uchumi wa Noumea hutegema utalii pamoja na migodi ya nikeli.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]

Anwani ya kijiografia : 22°16'33"S, 66°27'29"E

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nouméa&oldid=1392541"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp