Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Noam Chomsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Noam Chomsky (2005)

Noam Avram Chomsky (*7 Desemba1928) ni mtaalamu waisimu (sayansi inayochunguza lugha) nchiniMarekani. Tangu 1955 amekuwa profesa kwenye chuo chaMassachusetts Institute of Technology (MIT).

Amekuwa maarufu kwa michango yake katika isimu na pia kwa kama mwanaharakati aliyepigania mara nyingi siasa zisizolingana na serikali ya Marekani.

Alibuni sarufi inayofaa kwa lugha zote.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Noam_Chomsky&oldid=1457293"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp