Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Njozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Njozi niistilahi inayotumika hasa katikamaisha ya kiroho kama njia yamtu kupata taarifa ya mambo yaliyopita, yaliyopo, na yale yajayo.

Neno hilo hutumiwa pia kwa maana yandoto, ambayo ni ya kawaida pale mtu anapokuwa amepumzishaakili namwili.

Upande wadini huaminiwa kuwaMungu hutumia njozi kuwasilishaujumbe kwa mtu, kama habari juu yakazi yake au tukio linalotaka kutukia. Kwa kifupi tu Njozi ni tukio lolote la ndoto inaweza kuwa nzuri au mbaya

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Njozi&oldid=1335066"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp