Niseti wa Trier
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Niseti wa Trier (pia:Nicetius,Nicetus,Nicet auNizier;Auvergne[1], leo nchiniUfaransa,525 hivi -566 hivi[2]) alikuwaaskofu muhimu zaidi wamjihuo[3], leo nchiniUjerumani, akieneza kazi yake hadiKonstantinopoli[4][5][6].
Gregori wa Tours anamsifu hasa kwa mahubiri yake yenye nguvu, kwa mafundisho yake yenye msimamo na kwa maonyo yake makali[7] yaliyomfanyamfalmeKlotari I ampeleke uhamishoni[8].
Tangu kale anaheshimiwa naKanisa Katoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe1 Oktoba[9].
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |