Nijo wa Japani
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Nijo (31 Julai,1143 –5 Septemba,1165) alikuwa mfalme mkuu wa 78 (Tenno) waJapani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwaMorihito, na alikuwa mwana wa kwanza wa TennoGo-Shirakawa. Mwaka wa1158 alimfuata babake na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1165, muda mfupi kabla ya kifo chake kupitia ugonjwa. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wakeRokujo.
![]() | Makala hii kuhusuKaizari fulani waJapani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuNijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |