New Jersey (Jersey Mpya) nijimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika auMarekani. Mji mkuu niTrenton lakini mji mkubwa niNewark. Uko kwenye pwani yaAtlantiki upande wa mashariki ya Marekani bara.
Jimbo lina wakazi wapatao 8,682,661 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 22,608.
New Jersey ilikuwa koloni yaUingereza tangu 1729 na pia moja kati ya koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu1778.
Makala hii kuhusu maeneo yaNew Jersey bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuNew Jersey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.