NeXTSTEP ulikuwa mfumo wa uendeshaji wakompyuta uliotengenezwa nakampuni inayoitwaNEXT. NeXT iliendeshwa naSteve Jobs, aliyekuwaMkurugenzi Mtendaji waApple Inc. hadikifo chakemwaka2011.
NEXTSTEP ulikuwa msingi wa UNIX na kutumika kanuni ya uanzilishi kutoka BSD. Ilikuwa na kielelezo chamichoro na kuruhusuwatu kuandika mipango ya kompyuta kwa kutumiaprogramu ya maelekezo.
NEXTSTEP ulifanya kazi tu kwenye kompyuta zilizotengenezwa na NEXT. Baadaye, NEXTSTEP ilibadilishwa ili iweze kufanya kazi kwenyekompyuta nyingine. Mfumo huu mpya wa uendeshaji uliitwaOPENSTEP.
Mwaka1997, Apple alinunua kampuni ya NEXT na kutumia NEXTSTEP kufanyaMac OS X.
![]() | Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |