Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nduni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nduni ya Gimp inaitwa "Distress Selection"

Katikautarakilishi naprogramu tete,nduni (kwaKiingereza:feature) kwa mujibu wa "Institute of Electrical and Electronics Engineers" (kwaKiswahili:Chuo chawahandisi waumeme naelektroniki) nisifa bainifu yaprogramu; kwa mfano,utendaji, vitu vinavyoweza kubebwa (uwezo), au utumizi.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu.Kioo cha Lugha,5(1).
Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nduni&oldid=1331815"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp