Nazari na Chelsi
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine

Nazari na Chelsi (walifariki labdaMilano,Italia,304 hivi) walikuwaWakristo waliofiaimani yao wakati wadhuluma yaDola la Roma.
Ambrosi aligunduamasalia yaomwaka395[1], lakini habari nyingi juu yao hazinamsingi katikahistoria[2][3].
Tangu kale wanaheshimiwa naWakatoliki,Waorthodoksi na wengineo kamawatakatifuwafiadini.
{{cite book}}:|volume= has extra text (help)CS1 maint: unrecognized language (link){{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link){{cite book}}:|volume= has extra text (help){{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)| Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |