Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nathari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nathari nitawi mojawapo lafasihi andishi. Tofauti natenzi auushairi unaoletaujumbe wake kwaumbo lamabeti, nathari haina umbo maalumu au viwango vya muundo au taratibu. Hivyo inaweza kufanana na mazungumzo ya kila siku.

Nathari inafaa kwa habari na masimulizi. Kwa mfano inatumiwa kwenyemagazeti,vitabu,jarida aukamusi.

Ni tungo za kisanii za kubuni ambazo hutumia lugha ya kimaelezo mfululizo na kiinsha/mjazo kupasha ujumbe wa kuelimisha, kuburudisha.

Hujumuisha:riwaya,hadithi fupi,insha za kifasihi.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Wamitila, K.W. 2003.Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Books.
Makala hii kuhusu mambo yalugha bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuNathari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nathari&oldid=1288540"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp