Namasi wa Vienne
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Namasi wa Vienne (pia:Namasius, Naamat, Namat, Namatius;486 -559 hivi) alikuwamtawala waProvence, halafuaskofu mkuu waVienne,Ufaransa hadikifo chake[1][2][3].
Katika nafasi zote mbili aliongoza kwauadilifu[4].
Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifu.Papa Pius X alithibitishaheshima hiyo tarehe 9 Desemba 1903[5].
Sikukuu yake inaadhimishwa kilamwakatarehe17 Novemba[6].
| Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |