Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nitrojeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaNaitrojeni)


Nitrojeni (Nitrogenium)
Nitrojeni ndani ya chombo katika hali ya kiowevu ikiwa na halijoto chini ya -182.95 °C
Nitrojeni ndani ya chombo katika hali ya kiowevu ikiwa na halijoto chini ya -182.95 °C
Jina la ElementiNitrojeni (Nitrogenium)
AlamaN
Namba atomia7
Mfululizo safuSimetali
Uzani atomia14.0067
Valensi2, 5
Densiti1.251 g/L
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka63.15 K (−210.00°C)
Kiwango cha kuchemka77.36 K (−195.79 °C)
Asilimia zaganda la dunia0,03 %
Hali maadagesi

Nitrojeni nielementi yenyenamba atomia 7 katikamfumo radidia nauzani atomia 14.0067. Alama yake niN. Inaelektroni 5 katika ganda la nje.

Duniani haipatikani kamaatomi za pekee lakini kamamolekuli ya N2 inayounganisha atomi mbili za N. Katika hali hii ni gesi isiyo na ladha au harufu. Gesi hii ni sehemu kubwa yahewa tunayopumua ambamo kuna asilimia 78 za nitrojeni na 21 % zaoksijeni.

Nitrojeni imo ndani ya kila kiumbehai hakuna uhai duniani bila N. Shambani huongezwa kama mbolea kwa kukuza mimea.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuNitrojeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nitrojeni&oldid=947790"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp