Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nahau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mapenzi ni upofu,mfano wa picha ukiwakilisha nahau

Nahau nisemi fupifupi ambazo hutumialugha/maneno ya kawaida lakini maneno hayo hutoa maana tofauti na ile iliyo kwenye maneno ya awali. Japokuwa nahau hutumia maneno ya kawaida lakini kauli yake ina undani kiasi kwamba kwa wageni wasiofahamu lugha hiyo hawawezi kuelewa maana. Baadhi ya nahau ni kama vile:

  • Amina amevunja ungo
  • Sungura ameaga dunia
  • Lupinga amepata jiko
  • Mussa amevaa miwani
  • Oli hana mkono wa birika
  • Kutonesha kidonda
  • Kukalia kuti kavu
  • Hana mbele wala nyuma
  • Kupiga maji yaani kulewa au kunywa pombe
  • Piga bongo yaani kufikiria au kuwaza sana
  • Mambo yamemwendea mrama yaani kwenda kombo

Marejeo

Hadithi
Ngano  •Vigano  •Soga  •Visakale  •Visasili  •Hekaya  •Hurafa
Ushairi
Mashairi  •Tenzi  •Tendi  •Ngonjera  •Nyimbo  •Maghani
Semi
Methali  •Nahau  •Misemo  •Mafumbo  •Vitendawili  •Mizungu
Sanaa ya maonyesho
Makala hii kuhusu mambo yafasihi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuNahau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nahau&oldid=1149554"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp