Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Nadine Gordimer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nadine Gordimer

Amezaliwa20 Novemba1923 (1923-11-20) (umri 101)
Afrika Kusini
Amekufa13 July 2014
NchiAfrika Kusini
Kazi yakeMwandishi
NdoaGerald Gavron (1949-?; waliwachana; mtoto 1)
Reinhold Cassirer (1954-2001; mtoto 1)

Nadine Gordimer (20 Novemba1923 -13 Julai2014) alikuwamwandishi kutoka nchi yaAfrika Kusini. Hasa aliandikariwaya dhidi yasiasa yaubaguzi wa rangi (yaaniapartheid), na kuonyesha uharibifu katika maisha ya Waafrika. Mwaka wa1991 alishindaTuzo ya Nobel ya Fasihi.

Angalia pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Chapman, Michael. 2003.Southern African Literatures, University of Natal Press.ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuNadine Gordimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Nadine_Gordimer&oldid=1160125"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp