Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mwimbaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nabil bali

Mwimbaji ni mtuanayeimba. Mtu yeyote anayeimba ni mwimbaji. Kuna baadhi ya watu hufanya kuimba kama kazi ya kujipatia ridhiki, na kuna wengine huimba bila kulipwa (kwaKiingereza. wanawaitaamateur singer).

Waimbaji wanaweza kuimba kitu chochote kile: nyimbo,opera n.k. Wanawezekana wakawa wanasindikizwa na ala za muziki au bendi za muziki. Kuna baadhi ya waimbaji pia hupiga vyombo vya muziki kama vilepiano,gitaa, auzeze la kizungu (wanajiongoza wenyewe). Kuimba ni muhimu katikafilamu makumbi ya maonyesho.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMwimbaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mwimbaji&oldid=1117374"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp