Mwili ni kile kinachofanyabinadamu aonekane na kuishi katikaulimwengu, kwa kufanana nawanyama ambao pia wana mwili.
Tofauti kubwa iliyopo kati yaviumbehai hao, yaani mtu na mnyama, upande wa uwezo waakili na utendaji pengine inaelezwa nadini,falsafa n.k. kwa kudai uwepo waroho pia katikaumbile la binadamu.
Mwili wa binadamu unaundwa nakiwiliwili pamoja na viungo kwa mfanokichwa,shingo,kifua,mikono mgongo namiguu. Mwili unamifupa 206 ingawa binadamu anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo baadaye huungana[1].
Makala hii kuhusu mambo yaanatomia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMwili kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.