Watendaji kutoka Comédie-Française,1720 hivi.Waigizaji wakiwa wanaigizia kucheka wakati wa utengenezaji wa filamu.
Mwigizaji ni mtu anayeigiza, au anapewa kijisehemu cha kuigiza katikafilamu,tamthiliya, vipindi vyatelevisheni, mchezo, au mchezo waredio.
Muigizaji ni mtu anayeonyesha tabia fulani katika utendaji. Kuna kipindi waigizaji huimba na kucheza. Muigizaji hufanya maigizo katikaukumbi wa michezo, au katika kumbi ya kisasa kama filamu,redio natelevisheni.[1][2]
Mwigizaji jukumu lake ni kuelimishajamii na kuburudisha, iwe kwa misingi ya mtu halisi au tabia yauongo. Ufafanuzi hutokea hata wakati muigizaji "anacheza mwenyewe", kama katika aina fulani zasanaa ya utendaji wa majaribio, au kwa kawaida. Kutenda, ni kujenga, tabia katika utendaji.
↑This is true whether the character than an actor plays is based on a real person or a fictional one, even themselves (when the actor is 'playing themselves,' as in some forms of experimentalperformance art, or, more commonly, as in John Malkovich's performance in the filmBeing John Malkovich); to act is to create a character in performance: "The dramatic world can be extended to include the 'author', the 'audience' and even the 'theatre'; but these remain 'possible' surrogates, not the 'actual' referents as such" (Elam 1980, 110).
British Actors' Equity: a trade union representing UK artists, including actors, singers, dancers, choreographers, stage managers, theatre directors and designers, variety and circus artists, television and radio presenters, walk-on and supporting artists, stunt performers and directors and theatre fight directors.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMwigizaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.