Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mwendojoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwendojoto (kwaKiingereza:en:Thermodynamics) nitawi lafizikia linalohusika namoto nahalijoto katika uhusiano nanishati nakazi.

Tabia zake zinafuatakanuni nne za mwendojoto, bila kujalimata husika.

Mwendojoto hutumika katikamada nyingi zasayansi.

Ugunduzi wa sheria mpya za joto (mwendojoto) ulitokana na juhudi kubwa zauchunguzi katika kipindi chamapinduzi ya viwanda kutokana na kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa mahitaji ya nishati, hasa kwa mchango wamwanafizikiaMfaransaNicolas Léonard Sadi Carnot (1824).[1] Scottish physicistLord Kelvin was the first to formulate a concise definition of thermodynamics in 1854[2]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Clausius, Rudolf (1850).On the Motive Power of Heat, and on the Laws which can be deduced from it for the 'Theory of Heat'. Poggendorff's Annalen der Physik, LXXIX (Dover Reprint).ISBN 978-0-486-59065-3.{{cite book}}:Italic or bold markup not allowed in:|publisher= (help)
  2. William Thomson, LL.D. D.C.L., F.R.S. (1882).Mathematical and Physical Papers. Juz. la 1. London, Cambridge: C.J. Clay, M.A. & Son, Cambridge University Press. uk. 232.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Goldstein, Martin; Inge F. (1993).The Refrigerator and the Universe. Harvard University Press.ISBN 978-0-674-75325-9.OCLC 32826343.{{cite book}}:Unknown parameter|lastauthoramp= ignored (|name-list-style= suggested) (help) A nontechnical introduction, good on historical and interpretive matters.
  • Kazakov, Andrei; Muzny, Chris D.; Chirico, Robert D.; Diky, Vladimir V.; Frenkel, Michael (2008). "Web Thermo Tables - an On-Line Version of the TRC Thermodynamic Tables".Journal of Research of the National Institute of Standards and Technology.113 (4): 209–220.doi:10.6028/jres.113.016.ISSN 1044-677X.

Ya kitaalamu zaidi:

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo yafizikia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMwendojoto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mwendojoto&oldid=1317623"
Jamii:
Jamii zilizofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp