Mwana wa Daudi ni jina laheshima lawanaume waliotokana na vizazi vyamfalme Daudi na hivyo kuhusishwa naahadi alilopewa nanabii Nathani kwambaukoo wake utatawala milele (2Sam 7:1-29).
Kwa namna ya pekee jina hilo lilitumika kwaYesu aliyetambuliwa na wengi kuwa ndiyeMasiya aliyetazamiwa, ama wakati wamaisha yake au baada yakifo chake.
Injili ya Mathayo naInjili ya Luka zinasisitizahaki ya Yesu kuitwa hivyo kwa kuorodhesha vizazi kati ya Daudi naYosefu,mume waBikira Maria,mama yake.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMwana wa Daudi kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |