Mvua ni aina yausimbishaji. Kama matone yafikiakipenyo cha zaidi yamilimita 0.5 huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwamanyonyota. Mgongoni mwa ardhi mvua imetapaka kisawasawa.
Asili ya mvua nimvuke wamaji katikaangahewa. Kiasi cha mvuke hewani kutajwa kamagramu za maji kwakilogramu yahewa.[1][2] Kiasi chaunyevu (yaani maji) katika angahewa huitwaunyevuanga. Uwezo wa hewa kushika unyevuanga hutegemeahalijoto ya hewa. Hewabaridi ina uwezo mdogo kutunza unyevu ndani yake, kiasi kinaongezeka kadiri halijoto iko juu zaidi. Pale ambapo hewa inafikia hali ya kushiba unyewu unaanza kutonesha yaani matone kutokea. Wakati matone yanafikia kiwango fulani chauzito yanaanza kuanguka chini yaani mvua inaanza kunyesha.
Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMvua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.