Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Muuguzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Florence Nightingale alikuwamwanamke aliyechangia sana unesi wa kisasa.[1]

Muuguzi ni mtaalamu wa afya aliyeandaliwa kupitia mfumo maalumu na thabiti wa kitaaluma, kisha kuthibitishwa na kuidhinishwa (na mamlaka iliyopo kisheria / chombo kinachosimamia taaluma hii) kutoa huduma za afya.

Muuguzi anaweza kuwa wajinsia yoyote. Sambamba na hospitalini, muuguzi anaweza kufanya kazi maeneo tofautitofauti: nyumbani, kwenye jamii, kwenye kampuni na mashirika mbalimbali, shuleni na vyuoni.

Kazi nyingi na muhimu hutekelezwa kwa weledi mkubwa na wauguzi.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Professional Nursing Practice: Concepts and perspective, Koernig & Hayes, sixth edition, 2011, p.100, ISBN|978-0-13-508090-0
Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMuuguzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Muuguzi&oldid=1328533"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp