Mtaalamu
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Mtaalamu (kutoka neno laKiarabu lenye mzizi mmoja na neno 'elimu') mara nyingi humaanishamtu ambaye nibingwa katikataaluma fulani.
Mtaalamu anaaminika katikafani yake kama chanzo chaujuzi aumaarifa.
Utaalamu huo unaweza kutegemeaelimu, lakini pengine piamalezi,ufundi,maandishi au mang'amuzi yake.
Kihistoria, mtaalamu aliweza kuitwamzee wa hekima.
Mtu huyo kwa kawaida alikuwa nauwezo mkubwa upande waakili pamoja nabusara katika maamuzi.[1]
Mfano; mtaalamu walugha za alama, mtaalamu wa kuchorapicha, mtaalamu wa kutunga mashairi yanyimbo.
Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari. |