Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Msitu wa Amazon

Majiranukta:3°09′36″S60°01′48″W / 3.16000°S 60.03000°W /-3.16000; -60.03000
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

3°09′36″S60°01′48″W / 3.16000°S 60.03000°W /-3.16000; -60.03000

Msitu wa Amazon katika nchi ya Ecuador.

Msitu wa Amazon nimsitu mkubwa uliopo katikabonde latropiki laMto Amazon.

Unaeneo la takribanikilomita za mrabamilionisaba, ambazo kati yaketano nanusu zimefunikwa na msitu wamvua.

Msitu huo unajumuishamataifatisa: uko ndani yaBrazil kwaasilimia 60, ikifuatiwa naPeru asilimia 13, naColombia asilimia 10, halafuVenezuela,Ecuador,Bolivia,Guyana,Suriname naGuyana ya Kifaransa kwa kiasi kidogo.

Pia ni msitu ambao unawanyama wengi zaidi ya misitu mingineduniani.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]

Amazonia travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo yaAmerika Kusini bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMsitu wa Amazon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Msitu_wa_Amazon&oldid=1183550"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp