Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mshumaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mshumaa ukinunuliwadukani hukoZambia.
Mvulana na mshumaa,mchoro waMichel Gobin.
Mkusanyo wa mishumaa ya kikemikali ya kisasa.

Mshumaa (kwaKiingerezacandle, kutokana naKilatinicandēla,neno ambalo linategemeakitenzicandēre,kuangaza.[1]) nikifaa cha kuleteamwangagizani kinachotengenezwa kwanta aukemikali fulani.

Unaweza kuwashwa pia kwa sababu ya kuletaharufu aujoto, au hata kwa kupimamuda[2].

Ili kushika mshumaa, tangu zamani vilitengenezwavinara vyathamani tofautitofauti na hata vilivyopambwa kwasanaa.[3]

Mshumaa unawashwa kwakiberiti, halafu unaendelea wenyewe huku ukiyeyuka taratibu.[4]

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Mishumaa ya zamani zaidi kati ya ile iliyopo hadi leo ilitengenezwa hukoChina miaka200 KK hivi, na ilifanywa kwamafuta yanyangumi.[5]

Mshumaa ukiwaka katikamonasteri yaVisoki Dečani.

Kabla ya kuvumbua namna ya kutengenezaumeme, mishumaa na taa za mafuta ndivyo vilivyotumika kuleta mwanga, kama ilivyo bado umeme huo usipopatikana.

Lakini katika nchi zilizoendelea, mishumaa inatumika bado kwa mapambo tu, hasa mahali paibada au kuhusiana nayo.[6] Muhimu kuliko yote nimshumaa wa Pasaka.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Candle". The Free Dictionary By Farlex. Iliwekwa mnamo2012-05-19.
  2. Whitrow, G. J. (1989).Time in History: Views of Time from Prehistory to the Present Day. Oxford University Press. ku. 90–91.ISBN 0-19-285211-6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2015-06-10. Iliwekwa mnamo2015-12-23.{{cite book}}:Unknown parameter|deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. "chandelier". The Free Dictionary By Farlex. Iliwekwa mnamo2012-05-19.
  4. European Candle Association FAQIlihifadhiwa 13 Januari 2012 kwenyeWayback Machine..
  5. Forbes, R J (1955).Studies in Ancient technology. ku. 139–140.ISBN 9789004006263. Iliwekwa mnamo7 Novemba 2014.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Geddes, Gordon; Jane Griffiths.Christianity. Heinemann. uk. 89.ISBN 0-435-30693-6.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Franz Willhöft, Rudolf Horn, Ullmann's Encyclopedia of Industrial Chemistry, "Candles", ed. Wiley-VCH, ed. 6, 2003, ISBN= 3-527-30385-5

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yateknolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mshumaa&oldid=1256858"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp