Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Msamaha (sheria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Msamaha (kwaKiingereza:Amnesty) nimsamaha unaotolewa naserikali kwa kikundi cha watu, kwa kawaida kwa ajili ya makosa ya kisiasa;[1] kitendo chamamlaka huru kusamehe kikundi cha watu fulani ambao wamefunguliwa mashitaka ila bado hawajahukumiwa. Japo nenoMsamaha wa jumla lina maana sawa.[2] Amnesty inajumuisha zaidi ya msamaha, kwa kiasi inafuta ukumbusho wote wakosa. Hii inazidi kutumika kuelezea wazo lauhuru na kurejea pale wafungwa wanapoachwa huru.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Amnesty",1911 Encyclopædia Britannica, juz. la Volume 1, iliwekwa mnamo2022-08-15{{citation}}:|volume= has extra text (help)
  2. "GENERAL PARDON Definition & Meaning - Black's Law Dictionary".The Law Dictionary (kwa American English). 2013-03-28. Iliwekwa mnamo2022-08-15.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMsamaha (sheria) kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Msamaha_(sheria)&oldid=1298031"
Jamii:
Jamii zilizofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp