Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Msafsafi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msafsafi
(Salix spp.)
Picha ya Msafsafi mweupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Plantae (Mimea)
(bila tabaka):Rosids (Mimea kamamwaridi)
Oda:Malpighiales (Mimea kamamwenda-usiku)
Familia:Salicaceae (Mimea iliyo na mnasaba namsafsafi)
Jenasi:Salix (Misafsafi)
L.

Misafsafi (kutokaKiarabu:صفصاف;Kilatini:Salix) ni familia yamiti fulani imeayo kando ya maji mengi katikaNusudunia ya Kaskazini. Misafsafi inayojulikana sana ni Msafsafi wa Babeli (Salix babylonica) kutokaUchina na Msafsafi Mweupe (Salix alba) kutokaUlaya.

Spishi

[hariri |hariri chanzo]

Salix, Msafsafi (Willow)

Makala hii kuhusu mmea fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMsafsafi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Msafsafi&oldid=899716"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp