Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mraba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mraba na lalo zake (buluu)

Mraba ni aina ya pekee yamstatili. Kama mstatili umbo lake lina pembe nne na kila pembe inanyuzi 90 yaani nipembemraba. Urefu wa kila upande ni sawa. Pande zote zinazoelekeana ni sambamba.

Lalo za mraba zinalingana na kukatana kwa pembe la 90°. Nafasi kati ya kila ulalo na upande wa nje wa mraba ni 45°.

Makala hii kuhusu mambo yasayansi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMraba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mraba&oldid=949404"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp