Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mpishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mpishi akipika chakula.

Mpishi nimtaalamu au nimtumishi ambaye anahusika namaandalizi yavyakula mbalimbali.Neno linaloweza kumtajamkuu wawafanyakazi hao nimpishi mkuu.

Penginekazi hiyo inatazamwa kuwa ya chini sana kamakazi ya kimwili zaidi. Zamani kazi ya upishi ilikuwa inahusishawanawake ila kwa sasa ni kazi ya wote, wawe wa kike au wa kiume, tena wapishi boraduniani niwanaume.

Mpishi anawajibu wa maandalizi ya chakula cha kila siku, pamoja na matukio mengine maalum, kamasherehe zaharusi,kipaimara,mahafali n.k. Pia mpishi anawajibika kuwa na utaratibu wa kusambaza chakula maeneo mbalimbali.

Mpishi ananatakiwa awe mbunifu wa vyakula mbalimbali ili kupikiawateja hata kama siutamaduni wao.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMpishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mpishi&oldid=1127868"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp