Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Morelia, Michoacán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Morelia, Michoacán


Jiji la Morelia
NchiMexiko
JimboMichoacán
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla608,049
Tovuti:  morelia.gob.mx

Morelia ni mji mkuu katika jimbo laMichoacán. Ni pia mji mkubwa wa kwanza katika jimbo huu. Mwaka2005 ilikuwa na wakazi 608,049 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 735,624.

Uneo lake ni 1,119km². Mji upom 1,921 kutokajuu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa mwaka1541.


Makala hii kuhusu maeneo yaMexiko bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMorelia, Michoacán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Morelia,_Michoacán&oldid=1121557"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp