Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Moldova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Republica Moldova
Jamhuri ya Moldova
Bendera ya MoldovaNembo ya Moldova
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa:
Wimbo wa taifa:Limba noastră  (Kiromania)
"Lugha yetu")
Lokeshen ya Moldova
Mji mkuuKishineu
47°0′ N 28°55′ E
Mji mkubwa nchiniKishineu
Lugha rasmiKiromania-->
SerikaliJamhuri,Serikali ya Kibunge
Maia Sandu
Natalia Gavrilița
Uhuru
Tarehe
Imekamilika

27 Agosti1991
25 Desemba1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
33,843 km² (ya 139)
1.4
Idadi ya watu
 -Jan 2014 kadirio
 -2004 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,557,6002 (ya 1333)
3,383,3322
105/km² (ya 81)
FedhaMoldovan leu (MDL)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EET (UTC+2)
EEST (UTC+3)
Intaneti TLD.md
Kodi ya simu+373

-

1 Lugha ya "Kimoldova" ni lugha ileile ya Kiromania.
2Transnistria naTighina hazimo.
3



Moldova ni nchi yaUlaya ya Mashariki.

Inapakana naUkraina naRomania.

Eneo lake ni la km2 33,843, ingawaTransnistria imejitenga kwa msaada waUrusi.

Mji mkuu niChișinău.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Kwa kiasi kikubwahistoria ya Moldova inahusiana naile ya Romania kwa kuwa nitaifamoja kwautamaduni,lugha nadini.

Baada yavita vikuu vya kwanza Moldova ilikuwa sehemu yaUmoja wa Kisovyeti kwa jina laJamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova hadi ilipopatauhuru wake tarehe27 Agosti1991.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Wakazi nimilioni 3.5 hivi.

Lugha rasmi niKiromania, ambacho kimetokana hasa naKilatini. Nilugha ya kwanza ya 76% ya wakazi wote, ikifuatwa naKirusi (16%).

Upande wadini, 93.34% niWakristoWaorthodoksi.

Nchi huru
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
1 nchi yaAsia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu yaUlaya kiutamaduni2nchi ya kimabara
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMoldova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Moldova&oldid=1187887"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp