Kufuatana na aina ya chakula tunatofautisha hasa wanaokula mimea wanaoitwawalamani auwalamea (kwaKiingereza:herbivorous) na wanaokulanyama wanaoitwawalanyama au wagwizi (ing.carnivorous). Kuna pia walavyote (ing.omnivorous) wanaoweza kula kila kitu, ama mimea ama wanyama wengine (ing.omnivorous).
Aina za wanyama ni nyingi sana. Mara nyingi aina zao zinatofautishwa kama ni wanyama wenyeseli nyingi (metazoa) au seli moja (protozoa) tu.
Kuna wanyama wanaoishi peke yao, katika vikundi najamii. Mfano wa wanyama wanaoishi peke yao nikifaru aunyoka. Wanajumuika kwa tendo la kuzaa pekee. Mfano wa wanyama wa jumuiya nisimba wanaokaa na kuwinda pamoja. Ushirikiano unasaidia kupata chakula bora. Mfano wa wanyama katika jamii ninyuki nawadudu wengine.
Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMnyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.