Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Milimita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaMm.)
"mm" inaelekezwa hapa. Kwa matumizi mengine, tazamaMM.
Ruler yenye mgawanyo ya mm na cm

Milimita (kifupimm) ni sehemu ya 1000 yamita moja. Ni sawa na sehemu ya kumi yasentimita moja.

Millimita (mm): Millimita ni sehemu ya kumi ya sentimita moja; sentimita ina millimita kumi, mita ina millimita elfu moja.

Ndani ya milimita kunamikromita (µm) 1,000.

mm 1 = cm 0.1 = dm 0.01 = m 0.001; mm 1 = µm 1,000

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Milimita&oldid=1400021"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp