Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mlozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlozi
(Prunus amygdalus)
Mlozi uliotoa maua
Mlozi uliotoa maua
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Plantae (Mimea)
(bila tabaka):Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka):Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka):Rosids (Mimea kamamwaridi)
Oda:Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia:Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Nusufamilia:Amygdaloideae (Mimea iliyo na mnasaba namlozi)
Jenasi:Prunus
Nusujenasi:Amygdalus
Spishi:P. dulcis
(Mill.)D.A.Webb

Mlozi nimti mdogo wajenasiPrunus (nusujenasiAmygdalus) katikafamiliaRosaceae.Matunda yake hayanajina, lakinilozi aubadamu ni jina lakokwa ya tunda.

Asili ya mti huo niMashariki ya Kati naAsia ya Kusini, lakini siku hizi unapandwa kila mahali katika kanda zanusutropiki.

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Maua
    Maua
  • Tunda bichi
    Tunda bichi
  • Tunda bivu
    Tunda bivu
  • Lozi ndani na nje ya ganda lake
    Lozi ndani na nje ya ganda lake
Makala hii kuhusu mmea fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMlozi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mlozi&oldid=1153401"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp