Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mkono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za mkono

Mkono nikiungo chamwili kinachoanza penyebega na kuishia penyekiganja navidole. Huwa na sehemumbili ambazo ni mkono wa juu nakigasha zinazounganishwa kwakiwiko aukisugudi.

Mkono huishia kwa vidole vitano ambavyo ni:kidole gumba[1],kidole cha shahada,kidole cha kati,kidole cha pete nakidole cha mwisho. Vidole vyote huweza kufanya kazi pamoja.

Mifupa ya mkono wa kibinadamu

Miongoni mwa wanadamu, mkono ni kiungo kilichotokea kutokana na mabadiliko ya miguu ya mbele ya mamalia wengine. Mikono inafanya pia kazi muhimu katika lugha yamwili na lugha yaishara.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Gumba ni kidole kifupi kinene cha kwanza
Sehemu zaMkono wabinadamu

Bega *Mkono wa juu *Kisugudi *Kigasha *Kiganja *Kidole gumba *Kidole cha shahada *Kidole cha kati *Kidole cha pete *Kidole cha mwisho

Makala hii kuhusu mambo yaanatomia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMkono kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mkono&oldid=1201612"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp