Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mji wa Ho Chi Minh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Ho Chi Minh -Thành phố Hồ Chí Minh

Mji wa Ho Chi Minh
Habari za kimsingi
MkoaMji wa Ho Chi Minh
Anwani ya kijiografia10°2'N, 106°51'E
Kimo18 mjuu ya UB
Eneo2095km²
Wakazi7.383.800 (2009)
Msongamano wa watuwatu 2.095 kwakm²
Simu84 (nchi), 4 (mji)
Mahali
Kanisa Kuu ya Mji wa Ho Chi Minh

Mji wa Ho Chi Minh (Kivietnam: Thành phố Hồ Chí Minh,Sài Gòn) ni mji mkubwa nchiniVietnam mwenye wakazi zaidi ya milioni 7,1. Iko katika kusini ya taifa hili. Hadi 1975 ilijulikana kwa jina laSaigon ikiwa ni mji mkuu wa nchi yaVietnam Kusini. Baada ya kutwaliwa na jeshi ka Vietnam Kaskazini ukapewa jina jipya kwa heshima ya kiongozi ya kaskazini marehemuHo Chi Minh.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mji_wa_Ho_Chi_Minh&oldid=948567"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp