Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Muwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaMiwa)
Muwa
(Saccharum spp.)
Miwa inayotoa maua
Miwa inayotoa maua
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Plantae (Mimea)
(bila tabaka):Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka):Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka):Commelinids (Mimea kamajaja)
Oda:Poales (Mimea kamamanyasi)
Familia:Poaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Nusufamilia:Panicoideae
Jenasi:Saccharum
L.
Spishi:Spishi zilizochaguliwa

S. arundinaceumRetz.
S. officinarumL.

Miwa (Saccharum spp.) ni aina zanyasi zinazotoasukari.

Asili yake ilikuwaAsia ya Mashariki na kutoka huko zimesambazwa katika nchi zatropiki zenyemazingira yanayofaa kwake.

Kilimo chammea huo ni chanzo cha sehemu kubwa ya sukari kwa ajili ya matumizi yabinadamu na pia kwa sehemu kubwa yaethanoli inayotengenzwa kwa matumizi yabiofueli.

Kwa ajili yake katikakarne za nyuma ilistawibiashara ya watumwa hasa kutokaAfrika kwendaAmerika.

Kilimo

[hariri |hariri chanzo]

Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki ukiwa ni chanzo chaasilimia 55 ya mahitaji ya sukari duniani. Nchi zinazolima muwa kwa wingi ni (uzalishaji wa mwaka 2005 kwa tani 1.000)

Nchi zaAfrika ya Mashariki huzalisha kiasi kidogo tu duniani kamaTanzania (tani 300,000),Kenya (5,112,000) naUganda (2,350,000).[1].

Kati ya mwaka 2004 na 2008uzalishaji duniani uliongezeka kutoka tanibilioni 1.34 kufikia tani bilioni 1.74.[2]

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Majani
    Majani
  • Miwa njano
    Miwa njano
  • Miwa myekundu
    Miwa myekundu
  • Shamba la miwa
    Shamba la miwa
  • Miwa iliyokatika
    Miwa iliyokatika

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. takwimu 2008 yaFAOhttp://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancorIlihifadhiwa 19 Juni 2012 kwenyeWayback Machine.
  2. takwimu ya FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO) FAOSTAT - Production - Crops
Makala hii kuhusu mmea fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMuwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Muwa&oldid=1335942"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp