Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Missy Elliott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Missy Elliott
Missy Elliott mnamo mwaka wa 2010
Missy Elliott mnamo mwaka wa 2010
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaMelissa Arnette Elliott
Pia anajulikana kamaMissy "Misdemeanor" Elliott
Amezaliwa1 Julai1971 (1971-07-01) (umri 53)
Portsmouth, Virginia, United States
Aina ya muzikiHip hop,R&B,hip hop soul,club music,dance,
Kazi yakeRapper,mtunzi wa nyimbo,mwimbaji,mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji, mnenguaji, mbunifu
AlaMasauti
Miaka ya kazi1993–mpaka sasa
StudioThe Goldmind,East West,Elektra,Atlantic,Violator
Ame/Wameshirikiana naSwing Mob,Timbaland,Nelly,Aaliyah,Ginuwine,Jodeci,Eve,Ciara,TLC,Total,Jennifer Hudson,Fantasia,Nicole Wray,Pussycat Dolls,Nelly Furtado,Paula Cole,Jazmine Sullivan,702,Blaque,Adina Howard,Busta Rhymes,Keshia Chante,Ruslana,T-Pain,Janet Jackson,Tweet,Mariah Carey,Keyshia Cole
Tovutimissy-elliott.com


Melissa Arnette Elliott (amezaliwa tar.1 Julai1971) ni msanii wa rekodi, mtayarishaji, mwigizaji na mwanachama wa zamani wa bendi ya Sista kutoka nchiniMarekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake lakisanii kamaMissy "Misdemeanor" Elliott. Akiwa na mauzo ya zaidi ya milioni saba kwa Marekani pekee,[1] ni rapa wa kike pekee kuwa na albamu sita zilizotunukiwa platinamu naRIAA,[2] ikiwa pamoja na moja kuwa na platinamu maradufu,Under Construction. Mpaka sasa, rapa huyu ameuza zaidi ya rekodi milioni 16 kwa hesabu ya dunia nzima.

Elliott anafahamika kwa mfululizo wake wa vibao vikali na video mbalimbali za muziki ikiwa ni pamoja na "The Rain (Supa Dupa Fly)", "Hot Boyz", "Get Ur Freak On", "One Minute Man", "Work It", "Gossip Folks", "Pass That Dutch", "Lose Control" na "Ching-a-Ling". Kwa namna moja au nyingine, Elliott amefanya kirefu akiwa kama mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji kwa wasanii wengine, vyote akiwa peke yake na mtayarishaji wake na rafiki wa utotoni mwaka -Timbaland. Kazi za utunzi na utayarishaji za Elliott kwa wasanii kadhaa wengine ambao wakubwa ni pamoja naAaliyah,Mya,Lil' Kim,Danity Kane,Mariah Carey,Keyshia Cole,Lil' Mo,Christina Aguilera,Tamia,Mary J. Blige,SWV,Beyoncé,Nelly,Ciara,TLC,Total,Jennifer Hudson,Fantasia,Nicole Wray,Pussycat Dolls,Nelly Furtado,Paula Cole,Jazmine Sullivan,702,Blaque,Adina Howard,LeToya,Busta Rhymes,Ruslana,T-Pain,Janet Jackson,Tweet,Eve,Da Brat,Fabolous,Ginuwine,ODB,Kanye West,Static Major,Lil Wayne,Ghostface Killah,Nas,Jay-Z,Eminem,50 Cent,Trina,Ms. Jade,Lady Luck,Omarion,Justin Timberlake,Angie Stone,Magoo,Monica,Faith Evans,Kelly Price,MC Lyte,Madonna,Brandy,Melanie Brown,Blu Cantrell,Notorious B.I.G.,Diddy naTimbaland.

Maisha ya awali na kazi

[hariri |hariri chanzo]

Maisha ya awali

[hariri |hariri chanzo]

Diskografia

[hariri |hariri chanzo]

Albamu

Ziara
Albamu za Kompilesheni
DVD
  • Hits of Miss E… The Videos Vol.1 (2001)
  • Recipe of Hits: Music Video Anthology (2005)

Filmografia

[hariri |hariri chanzo]

Televisheni

[hariri |hariri chanzo]
MwakaJinaUhusikaKipengele
1997Family MattersK.m jina lale"Original Gangster Dawg" (msimu wa 9, kipengele cha 203)
1998The Wayans Bros.K.m jina lale
2005MTV CribsK.m jina lale
2005The Road to StardomK.m jina lale
2008Ego trip's Miss Rap SupremeK.m jina laleMsimu wa 1
America's Best Dance CrewK.m jina lale, Guest Judge"Missy Elliott "Shake Ya Pom Pom" Challenge" (msimu wa 2, kipengele cha 7)

Filamu

[hariri |hariri chanzo]
MwakaFilamuUhusika
2001Pootie TangDiva
2003HoneyK.m jina lale
2004Fade to BlackK.m jina lale
Shark TaleUncredited voice
2005Just for KicksK.m jina lale

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Watson, Margeaux."Rhymes and Reasons".Entertainment Weekly.Time Inc. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2007-03-27. Iliwekwa mnamo2008-11-21.
  2. RIAA - Gold & Platinum search

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Studio albums
Supa Dupa Fly (1997) ·Da Real World (1999) ·Miss E… So Addictive (2001) ·Under Construction (2002) ·This Is Not a Test! (2003) ·The Cookbook (2005) ·Block Party (2011)
Other albums
Tours
Related articles
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Missy_Elliott&oldid=1305399"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp