Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Missouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru







Missouri

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuJefferson City
Eneo
 - Jumla180,533km²
 - Kavu178,414 km² 
 - Maji2,120 km² 
Tovuti:  http://www.missouri.gov/

Missouri ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika auMarekani. Mji mkuu niJefferson City naKansas City ni mji mkubwa. Imepakana naIowa,Illinois,Kentucky,Tennessee,Arkansas,Oklahoma,Kansas naNebraska. Jimbo lina wakazi wapatao 5,911,605 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 180,533.

Upande wa mashariki kuna waMto Mississippi.Mto Missouri inaendelea kupita jimbo ya Missouri.

Kiingereza ni lugha rasmi.

Miji muhimu baada ya Kansas City niSaint Louis,Columbia naSpringfield.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMissouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Missouri&oldid=883793"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp