Milevum (kwaKilatini "Milev" au "Mireon") ulikuwamji wa Kiroma–Kiberber katika mkoa waNumidia.
Unajulikana kama mji waMila kwa sasa, upomashariki mwaAlgeria.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaAlgeria bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuMilevum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. |