Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Michigan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michigan

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuLansing
Eneo
 - Jumla250,494km²
 - Kavu147,121 km² 
 - Maji103,372 km² 
Tovuti:  http://www.michigan.gov/

Michigan ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Umbo lake linafanana na rasi mawili linalozungukwa naZiwa Superior,Ziwa Michigan,Ziwa Huron naZiwa Erie. Imepakana naKanada,Ohio,Indiana naWisconsin.

Mji mkuu niLansing na mji mkubwa niDetroit.

Jimbo lina wakazi wapatao 10,003,422 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 253,793.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMichigan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Michigan&oldid=1195992"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp