Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaMia moja)
Dola 100 (Mia), fedha ya kimarekani iliyotolewa 1862

Mia (kutokaneno laKiarabu) ninamba inayoandikwa100 (mojasifuri sifuri) kwatarakimu za kawaida , ila kwanamba za Kirumi tu (kutokana naneno laKilatinicentum, yaanimia moja).

Ninamba asilia inayofuata99 na kutangulia101.

Vigawo vyake vyanamba tasa ni: 2 x 2 x 5 x 5.

Nimraba wa10, hivyo inaweza kuandikwa 102.

Namba 100 nimsingi waasilimia, 100% ikiwa kiwango kilichokamilika.

Matumizi

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo yahisabati bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mia&oldid=1126057"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp