Hii ni picha inayoonesha mgonjwa akiwa hospitali na wanajeshi wamemtembelea.Mhindi huyu ananjaa, yaani ugonjwa wake umesababishwa naupungufu wa chakula.
Mgonjwa anapoumwa huoneshadalili mbalimbali za wazi, kwa mfano mgonjwa wakichwa hushikakichwa. Kuna pia dalili nyingine za ndani ambazo ni muhimu zaidi kwa sababu zinadokeza chanzo chaugonjwa ambacho ni muhimu kuwahi kupambana nacho.
Mgonjwa huteseka pale ambapo anapoumwa halafu hapewihuduma ya kwanza au hata kumwahishahospitali. Ni muhimu kuzingatia kwamba kila mtu anahaki ya kuishi, tena vizuri, hivyo ana haki ya kutibiwa.
Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMgonjwa kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.