Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mfyulisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfyulisi
(Prunus persica)
Kiunga cha mifyulisi
Kiunga cha mifyulisi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Plantae (Mimea)
(bila tabaka):Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka):Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka):Rosids (Mimea kamamwaridi)
Oda:Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia:Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Nusufamilia:Amygdaloideae (Mimea iliyo na mnasaba namlozi)
Jenasi:Prunus
L.
Nusujenasi:Amygdalus
(L.)Focke
Spishi:P. persica
(L.)Batsch, 1801

Mfyulisi nimti mdogo wa jenasiPrunus (nusujenasiAmygdalus) katikafamiliaRosaceae.Matunda yake huitwamafyulisi na haya yanangozi yenyemanyoya mafupi kamamahameli.

Asili ya mti huu niUchina, lakini sikuhizi unapandwa kila mahali katika kanda za nusutropiki.

Kuna aina mbili zenye matunda yaliyo na kifano kingine:

Mnektarini (var.nucipersica au var.nectarina) - ngozi ya matunda bila manyoya
Mfyulisi-donati (var.platycarpa) - matunda yenye umbo wadonati

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Majani na matunda mabichi
    Majani na matunda mabichi
  • Maua
    Maua
  • Mafyulisi
    Mafyulisi
  • Fyulisi lililokatika
    Fyulisi lililokatika
  • Manektarini
    Manektarini
  • Mafyulisi-donati
    Mafyulisi-donati
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mfyulisi&oldid=1012948"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp