Spishi nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuishaubongo namrija wauti wa mgongo na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenyekambabando zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.Sehemu ya kati ya neva hupeleka taarifa kutoka kwenye chanzo cha taarifa kupitiauti wa mgongo mpaka kwenye neva zaubongo. Pia sehemu nyingine za mwili zina neva ambazo hupeleka taarifa.
Makala hii kuhusu mambo yaanatomia bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuMfumo wa neva kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.