Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Metafizikia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Konfutsu, mwanafalsafa waChina.

Metafizikia nitawi lafalsafa linalochunguzaasili msingi yaulimwengu.

Kifupi, metafizika inajaribu kujibu hasa maswali mawili: 1. nini kipo? 2. kama kipo, kinakaaje?

Hivyo,mada zauchunguzi za wanametafizikia ni kama vile: uwepo,vitu nasifa zake, nafasi nawakati, usababishi na uwezekano.

Tawi kuu la metafizika niontolojia, uchunguzi wa makundi ya kuwepo na namna yanavyohusiana.

Wanafalsafa kadhaa nawanasayansi, kama vile wanamantiki chaya, wametupilia mbali somo zima la metafizikia na kusema halina maana, lakini wengine wanakiri kuwa somo hili ni halali.

Etimolojia

[hariri |hariri chanzo]

Neno “metafizikia” limetokana na maneno yaKigiriki: μεταmeta (“ng'ambo ya”, “juu ya” ama “baada ya”) na φυσίκήfysike (fizikia,uasilia). Ilitumika mara za kwanza kamakichwa chamaandishi kadhaa yaAristoteli kwaumbo la μετὰ τὰ φυσικάmeta ta fysika ng'ambo ya fizikia.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMetafizikia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Metafizikia&oldid=1376644"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp