Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Melanie Leupolz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leupolz akiichezea Ujerumani mnamo2023

Melanie Leupolz (alizaliwa14 Aprili1994) ni mchezaji wampira wa miguu kutokaUjerumani ambaye anacheza kamakiungo wa klabu yaChelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[1][2][3]

Kutokea2013 hadi2023, pia alichezeatimu ya taifa ya Ujerumani.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Melanie Leupolz transfer agreed".www.chelseafc.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo2024-04-20.
  2. "Germany - M. Leupolz - Profile with news, career statistics and history - Soccerway".my.soccerway.com. Iliwekwa mnamo2024-04-20.
  3. https://www.chelseafc.com/en/videos/v/2020/03/23/signed--melanie-leupolz-joins-chelsea-B5cmpiajE635FTYK2aQtWFEJ8dhdeLjI1
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuMelanie Leupolz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Melanie_Leupolz&oldid=1331497"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp