Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Mbandaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha biashara cha Mbandaka, 2008


Mbandaka ni kati yamiji mikubwa yaJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Iko kwenyeikweta kando yamto Kongo.

Idadi ya wakazi ni mnamo 200,000. Mbandaka nimakao makuu yamkoa wa Équateur.

Mji ulianzishwa nampeleleziHenry Morton Stanleymwaka1883 kwajina laEquateurville. Jina likabadilishwa baadaye kuwaCoquilhatville na tangu mwaka1966 ni "Mbandaka".

Uvuvi ni sehemu muhimu yauchumi wa mji.Samaki wanauzwa hasaKinshasa.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo yaJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuMbandaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mbandaka&oldid=1179999"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp