Mavilus (pia:Mayulo; alifariki196 au212) alikuwaMkristo wa Hadrumetum (leoSusa, nchiniTunisia) aliyetupwa kuliwa nawanyamapori kwa ajili yaimani yake wakati wadhuluma yakaisariCaracalla[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kamamtakatifumfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe11 Mei[3] au4 Januari[4].
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |