Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Maurice Jarre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maurice-Alexis Jarre (13 Septemba192428 Machi2009)[1][2][3][4] alikuwa mtunzi wa vibwagizo vya filamu na mwongozaji muziki wa vyombo vingi kutoka nchiniUfaransa.

Japokuwa ametunga tungo kadhaa kwa ajili ya kazi za maonyesho ya muziki, alifahamika sana kwa utunzi wake wa vibwagizo vya filamu, na hasa kwa kufanya kazi pamoja na mwongozajiDavid Lean. Jarre ametarishaji vibwagizo karibuni vya filamu zote za Lean tanguLawrence of Arabia (1962). Vibwagizo vingine maarufu ni pamoja naThe Message (1976),Dead Poets Society (1989) naGhost (1990). Jarre alizawadiwa nyota katikaHollywood Walk of Fame.[5]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. McLellan, Dennis (31 Machi 2009)."Maurice Jarre dies at 84; composer for 'Lawrence of Arabia'".Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo31 Machi 2009.
  2. Weber, Bruce (31 Machi 2009)."Maurice Jarre, Hollywood Composer, Dies at 84".The New York Times. Iliwekwa mnamo31 Machi 2009.
  3. allmusic Biography
  4. « Epic Composer Maurice Jarre Dies at 84 »Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenyeWayback Machine.,peoplestar.co.uk, 30 Machi 2009.
  5. Maurice Jarre (I) - Biography

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Studio albums
Deserted Palace (1972) ·Les Granges Brûlées (1973) ·Oxygene (1976) ·Equinoxe (1978) ·Magnetic Fields (a.k.a.Les Chants Magnétiques) (1981) ·Music for Supermarkets (a.k.a.Musique pour Supermarché) (1983) ·Zoolook (1984) ·Rendez-Vous (1986) ·Revolutions (1988) ·Waiting for Cousteau (a.k.a.En Attendant Cousteau) (1990) ·Chronologie (1993) ·Oxygene 7–13 (1997) ·Métamorphoses (2000) ·Interior Music (2001) ·Sessions 2000 (2002) ·Geometry of Love (2003) ·Téo & Téa (2007) ·Oxygene: New Master Recording (2007) ·Electronica 1: The Time Machine (2015) ·Electronica 2: The Heart of Noise (2016) ·Oxygène 3 (2016) ·Radiophonie Vol. 9 (2017) ·Equinoxe Infinity (2018) ·Amazônia (2021) ·Oxymore (2022)
Live albums
LP - 7'' single only
Compilation albums
Remixes by other artists
Jarremix (1995) ·Odyssey Through O2 (1998)
Related articles
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Maurice_Jarre&oldid=1333963"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp