Mathayo Carreri
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Mathayo Carreri,O.P. (1420 –5 Oktoba1470) alikuwa mtawa padri anayejulikana kwa "ukali wa maisha yake." Alikuwakiongozi wa kiroho wa Stefana de Quinzanis, na kama yeye, anajulikana kuwa alijaliwaalama za majeraha yaYesu (stigmata).[1]
Alizaliwa Giovanni Francesco Carreri katika mji wa Mantova karibu na mwaka 1420. Aliitwa jina la Matteo alipokuwa akiingia katika Shirika la Wadominiko. Mafanikio yake baadaye kama mhubiri yalikuwa wazi, na yanahusishwa na muda mwingi aliotumia katika mazoezi ya kiroho na kutafakari kati ya kuhubiri.[2][3]
Papa Sisto IV alimtangazamwenye heri mwaka1482.
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |